Nimefurahi sana

Unaweza kumsukuma punda hadi mtoni ila si rahisi kumywesha maji kwa lazima

Fafanua kidogo mkuu

Umeeleweka, uhuru popote.

Sijakupata…

Kwa vile umejiunga leo nimekuelewa.

Hii ndio furaha yako , karibu sana mkuu.

umeeleweka mdau

Karibu sana, uko huru tena

Karibu Kambini!

Karibu sana mkuu…

Karibu kenya

Karibu Punda

Jisikie kama nyumbani!! Chama la wana

Ma CCM mengi yanasoma tu humu yanaogopa kweli kucomment…
Na MLAANIWE kwa kuiweka Tanzania kwenye hali mbaya katika kila sekta.

Nimecheka lakini sijui sababu!