Nimepitia Narok, Bomet na sasa niko Kisii town. Huko kwote nimemake stop over na opinion poll inaniambia Cord tuko na kama 44.2%. margin of error ni 3%.
Anyway, safari ya leo imeisha juu nimechoka na ni usiku. So nitalala Kisii town alafu asubuhi na mapema nianze safari.
I normally see watu wakienda out of town wakiitisha number za kudry fry ama club mtu anaweza angukia kimutu. Mimi ni faithful to one woman. lakini nisaidieni na club/restaurants in Kisii town ambayo watu huchapa siasa sana. Nataka kuskiza maoni ya siasa hapa kisii hadi 4am hivi, nilale 1hr alafu nianze second leg.
There is a ka street from the police station huwa na clubs kadhaa poa. Nlikua huko some two years ago ivi but been there several times before. One or two clubs are in the same building as Zonic sijui sonic hotel. Lala hio hoteli after partying. Madem huwa working class na as long as sio shinny eyes ama jeng unaeza enda nanyeye kwa room. Ukipata bj you won’t be cheating. :D:D
Kama unataka siasa,enda huko storm hotel on your way to jogoo.Otherwise kula raha town kabisa,Kuna chics wa mtc na kisii uni hot blood for company.Avoid women from Homabay or Oyugis if you want to see 2020.