Nimefika eneo lilipofanyika shambulio dhidi ya Tundu Lissu, kwa hali ya mazingira ilivyo, shambulio lilitekelezwa na watu wa kwenye system

Ni mpumbavu pekee atakayebaki kuamini kuwa shambulio dhidi ya Tundu Lissu halikuwa planned na watu wa kwenye system.

Hakika J-uma P-ombe M-aandazi hawezi kukwepa kwenye hii issue. Na ndio maana Policcm hawakujisumbua kufatilia issue ile.

Hawataishi milele

Watapata taabu sana!

Tumeambiwa kuwa yule ‘kiranja wa hilo genge’ amekuwa demoted na kupewa Ukatibu Tawala wa Mkoa, ati ndio maana matukio ya ajabu hatuyasikii tena.

Kaka

Wao wanadhani wataishi milele!

Hebu angalia nyuma yako, hakuna Nissan nyeupe inayopita?..

Dah…noma.

Ungetoa maelezo angalau kidogo ya kwanini umefikia hitimisho hilo mkuu maana umetuacha hewani tu

Hivi shambulio Kama lile Kuna mtuhumiwa yeyote anayeshikiliwa???

Amini usiamini, wangekuwa waliofanya lile tukio ni watu kutoka nje ya “mfumo” basi wangekuwa walishakamatwa siku nyingi hata “fake” tu wa kuzugia.
Ila lile tukio lilifanywa na “jiwe” na genge lake 100% hilo hata kuku zangu zinajua.

Inaogofya sana Mkuu Hivi wanajua Kuna Siku na Yeye lazima Mungu atamuita Kweli???

Hata mtoto mdogo anajua nani alikuwa nyuma ya tukio lile

[FONT=courier new]Labda ’ System Maandazi ’ ilitekeleza hilo ila kwa ’ System Makini ’ isingefanya huo ’ Upumbavu ’ kwani kwa Wabobezi wa Kazi / Shughuli za ’ Kimafia ’ wasingefanya kama ambavyo limefanyika badala yake ’ Jamaa ’ angetegwa sehemu ndogo tu na ’ angejaa ’ mwenyewe na leo kuwa Historia kabisa. Bado nasisitiza na siogopi wala sioni aibu kusema kwamba Wahusika wa lililotokea siyo ’ System Makini ’ bali naamini watakuwa ni ’ System Maandazi ’ pekee ila kwakuwa tayari Watu wameshakaririshwa huku wakiongozwa na ’ Chuki ’ dhidi ya ’ Taasisi ’ fulani ’ Nyeti ’ Tanzania basi lazima tu ’ Zigo ’ la lawama watatupiwa Wao. Ila ninachojua tu ni kwamba siku zote ’ Kikulacho Ki Nguoni mwako '. Watu wametumia mwanya wa Utawala fulani ’ Kuchukiwa ’ kufanya walichofanya kwa Tundu Lissu wa Watu na hatimaye sasa wenyewe wamenyamaza zao tu huku wakitufugia Ndevu zao na kuja na Mtindo mpya, wakimzuia Dereva wa Tundu Lissu asiongee na Mamlaka na kueneza ’ Propaganda ’ kuwa limefanywa na ’ System ’ ya Tanzania. Nitalikataa hili mpaka dakika ya mwisho na kuna siku ukweli wa aina hii ya ’ Upuuzi ’ utakuja tu kujulikana ndipo Watanzania tutakuja kujuana kwa rangi zetu halisi. Time will tell![/FONT]

@GENTAMYCINE kuna id iko hapa lakini bila ‘E’ mwishoni,avatar the same.
CCTV camera iko wapi, mh lema alimtaja waziri wa serikali bungeni kuwa aliondoa,na hakufuta kauli yake, kwa nini hakutaiwa uthibitisho.

Wewe achana na huyo ni mpuuzi.

Ni amri ya Jiwe, full stop! Atakufa na dhambi hii milele hata akizikwa na maaskofu millioni moja, hawataifuta dhambi hii!

Upuuzi mtupu unauleta huku tena! Tulipumzika ushuzi wako, sasa umeanza tena. Katika watu wapuuzi JF wewe ni mmoja wapo nakwambia.

Only one flaw in your reasoning: Kama kusingekuwa na mkono wa serikali basi CHADEMA wenyewe wangeshabambikiwa kesi hiyo, wasingezuia/wasingekataa offer ya Interpol kufanya uchunguzi, watu wasingekatazwa kukusanyika kumuombea Tundu Lissu n.k

Mhhhh Gentamycin …unasemaje ,…acha watu wafuge nini!!!1

Anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga. Siyo mimi nasema bali huo ni msemo wa wahenga.