Kutazama historia.
Okiya natafuta kazi kwa N.G.O yako punda imechoka kubeba mizigo.
1 Like
ata mimi nimechoka. I hope huko kuna drum tukuwe tukiokotwa pamoja na pamba.
Enlighten me. Ntu Nguyaz. whats happening over there?
Pole uncle am not in a position of influence in this NGO. Si nilithani wewe ni karao?
Kavuludi hacheki nao. Anataka records of all Mpesa transactions for the past two years or longer.
2 Likes
kwani hata akiwa karao huwezi weka yeye kwa gate?
kavuludi ameleta shida omwami toa icon ya mpesa kwa simu