Nimechoka na Mixtapes!

Kenyan deejays are basically the same chieth! These mixtapes ziko kwa mat, clubs, houseparties are just the same shit! So decided to do some different music today. Andu wa masaku mwi va?? Na watu wa ODM nyanza mko wapi? Adu wa Nyuba, kari kii!! Some nice mixvideos hapa!

https://www.youtube.com/watch?v=43gs75K2TgI

https://www.youtube.com/watch?v=cFQX_q1RPHA

https://www.youtube.com/watch?v=--i9Cd4sgzA

Hapa kusema ukweli wacha zikae, siwezi skiza hizi vitu za kina masaku, ohangla, andu a nyumba mix. Naskiza Electro & House mixxes instead

Pitia www.vimeo.com. Ziko mob sana, kwanza a guy called philliz has awesome mixtapes. But hiyo haiwes enda na hii kinywaji yangu sahii

1 Like

You guys do you know difference between Dj mixes and Mixtapes? What you are talking about here ni Dj mixes and not mixtapes. If you really want to know what a mixtape is then read about Lil wayne or Dj Drama… Examples of Mixtapes released this year are If you are reading this then its too late by drake, what a time to be a live by drake and future, Sorry for the wait 2 by Lil wayne etc… @Nefertities kindly educate your brothers on this topic

2 Likes

Hizo siwesskia.

Siku hizi I don’t even want to hear a Dj talking, do your thing and I will appreciate… na mimi ni mtu wa slow jams…currently listening to 92.2 FM …

92.2 ni ipi hiyo?

Kama uko Nairobi, just tune in.

Jina ya station kwa Mara ya pili.

1 Like

I don’t know the station name, stumbled upon it by mistake after getting a jump start.

Jina ya station ingekua an easier answer… Mbona watu hufanya maisha kuwa ngumu ivi?

2 Likes

Kwani you stumbled upon it few minutes ago hadi saa hii hujajua jina ya station?

Mpikiwe chakula mwandaliwe na bado mnataka mmezewe?

It’s ok, forget we ever asked. :slight_smile:

2 Likes

Watu wamashambani wamestedi sana na hio story.:D:D
@Touchlyrics ebu niwekee like ya youtube ana vimeo ya dj huupload mix za club na si za last year.

Sorry for the Weight 2

https://pbs.twimg.com/media/B9XLVG5IUAAbYIA.jpg

Naona talker amecatch tu feelings ama ni weather @threetatu

Hehehehe muhindi amewapa tea break leo?

How do you listen to a radio for more than an hour na hujui jina?o_O

Napenda sana :rolleyes: