Nimechoka na kulipa taxes, nssf,nhif etc

Every month 35k inaenda kwa serikali the remainder na kula na malair za Njogu-ini.hii 35k inabidi ni fanye kazi chini ya maji kuzipata.

tulia peasants

Wewe mtu 10k hujui kitu

kulipa ushuru ni kujitegemea…

1 Like

Chenye najua ni ati hapa ktalk anyone can claim to be anyone. Labda hio 35K is what you wish you were paid. Kibandaski hawezi lipa hivo, tafta job place ya maana

3 Likes

waiguru does not like this

3 Likes

ambia hii jinga tena

Peasant wacha mafeelings

35K unajenga SGR sisi peasants tutakuombea tu baraka

1 Like

Huyu jamaa lazima amefeel hiyo taxation kama hajaweka hii post ikiwa na picha ya food.For once take him serious and soothe his ego

Pole, kulipa ushuru ni kujitegemea.

the ‘s’ is silent

2 Likes