Nimeanza

Chief kuwa mless utafanya @Female Perspective anikatae.

MIMI husign pombe hata nikinunua nipeleke kwa nyumba.

1 Like

Mi niko Tao na tusichana turembo njoo ujinyakulie kamoja Ango!

1 Like

HAPA si Mumias we D.O

hehee utakuta anaitwa Kilonzo Mwinzi

2 Likes

Nitakuja kushuhudia Taj Mall ikimwagwa. I will single out @Mkufuu from the crowd. Nimpe ma jab za mbavu.

2 Likes

Vile @vuja de ANAITWA KITHEKA KIINO.

3 Likes

Acha ufala huyo niccur hata hajareply kwa hio thread…njoo Tao ujinyakulie niko na wengi

Tao wapi? Nipe directions bana Ile time wa kamba walikuwa wanaambia mtu…ni hapa…iliisha.

1 Like

alitoka mafichoni DMZ, Korea?

leo ni weekend…wakati wa kulipa madeni…any Mkuria in the house please stand up…

Mulirushia baba story ya icc saa hii tumewarudishia so ame toka north Korea .

Uncle gashwin wakuria tuko rusha airtime.

Baba ako South Korea state visit.

1 Like

talk of the devil! husengenyeki?

1 Like

nina birthday moja kwa mwaka m-say, mark calendar for next year…

1 Like

Kuka leo hukam nyama villa kayole?

SIWES Leo niko sankara kwa wadosi natafuta MOMO Julie gichuru nimemeza Vega 300

1 Like

Uncle bday ya mtoi?

Sawa wacha niagize samaki

1 Like

[ATTACH=full]17605[/ATTACH]