Octogenarian kuja uenjoy huu utamu before uende binguni
niko sankara kwa lounge.
[ATTACH=full]18869[/ATTACH]
Octogenarian kuja uenjoy huu utamu before uende binguni
niko sankara kwa lounge.
[ATTACH=full]18869[/ATTACH]
It’s like wanking to ur own image
Nani alitoa hii saying.
ninini we ulalisha chupa zako zote hata za beer kwa meza ? hata ukikunywa umalize sijai ona chupa yako enye imesmama
ZA beer umenilemea UNCLE
Haya nimesimamisha uncle GILBEYS
[ATTACH=full]18870[/ATTACH]
Sija wahi ona anko akinywa bia
I am very sad man. There are no Carlsberg cans in my town. None ![]()
Ile day @Jirani alinikasirisha nilipost tusker pale shujaa mall
Simple piss in a Carlsberg bottle and drink
hujaambia anko kirusi poa
kuja tukunywe muratina
Mbona 2 KRA stamps? Chunga isikuwe no 2nd generation kwa chupa ya Gilbeys.
wakanyake si unitumie ama inbox recipe ya hii murata ? naitaka…
Carlsberg is the best beer in the world. Gilbeys is cheap gin.
[ATTACH=full]18872[/ATTACH]
MOMO sankara ni kwa wazito uliza @Okiya hata baba ameingia saa hii . Kuria pia.
Na hiyo Gin imekushika haraka :eek:
kwanza tafuta miratina
anko last year nikiwa mandera nilikua nakunywa mzinga ya gilbeys na kuteremsha na pilsner kama tatu ndo nilale :(:(:(![]()
carlsberg has been rated 75/100 in beeradvocate… its plays in the same league with heineken… kuna beer zingine with 90% ratings beer swaf