Today nimekuwa nikitembea and many things were running on my mind. Suddenly nikaona mzae ananisimamisha.
Alinuliza if niko na shida i can speak with him he might help. Ilibidi nimshow ni kasongo nikaenda zangu
[quote="Kahawa_vajo, post:1, topic:605765
Today nimekuwa nikitembea and many things were running on my mind. Suddenly nikaona mzae ananisimamisha.
Alinuliza if niko na shida i can speak with him he might help. Ilibidi nimshow ni kasongo nikaenda zangu
Okimwi
One of the symptoms of syphilis ni kuchizi.
Ile siku utawachana na malaya ndio maisha yako ita badilika iwe na maana.
Yule elder akona swali aniulize nimjibu sahi sahi. Nime turn on notifications.
Beg Kasongo awache kukupipinya makeii juu zimeanza kutoa maji ![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ni warm-up na ushachizi. Na akianza triathlon?
In this plantation called Kenya there is no rest for the poor. Ukipumzika kidogo unalala njaa. Ukifunga macho kidogo unafungiwa nyumba. Mtatii.
Vaa mask unapotembea hadharani.
village idler kwa leaderboard umewachia number 2 by 200 points
Unatembea tu haraka. Na usisimame ovyovyo utapatana na zile nyangau za madawa
What about the.extreme discomfort?

Tafuta pesa
Ingia Airport u chitchat lanye akili irudi poa
I’m always number one. Hata nilishangaa pia huku nambari moja inanifuata tu. Whenever I do something huwa najipata pale juu. Among wale wanatunukiwa zawadi.
Elder ana fyatu. Hana nyota ya ulanye…
Kijana anafuatwa na watu wao
Tumeanza kufika ligi ya yues. Bills everywhere
Umedinnya malaya wa Airport ukapewa STI ime affect akili yako.
Kuja nikupeleke mathare nipewe punch
Menigitis asociated with syphilis due to years of lanyeism