Covid is real, hapa subcounty wamekujia a patient, six policemen, health officials,an ambulance na another van, Kama nimemuuzia Nyama kwaheri ya kuonana wadau, nimeona askari wakipoint kwa butchery yangu
Relax.Covid-19 is dangerous if your immunity is low.You should be more worried about Malaria which infects 9,500 daily and kills 29 people daily in Kenya.
But malaria hukujiwi na 6 policemen
Enda ukamuliwe mkia mbangathi sasa
It’s real when it’s closer to you.
It is a real disease, very contagious and very little is known about it… but is being handled vijinga sana na hii serikali. Ata hao polisi unasema wamekujia raia most likely wako nayo.
:D:DFunga tu busheri ujipelekee hapo Dagoretti High mwenyewe mapema hivi…
Hawa mapolisi wore wanafaa washikwe na Coronavirus na wakufe.
Luwere ,ata sikuwa na ku like
:D:D:Dtoka mbio county hazina fence
tell them you have 130 kgs of pure muscles, wasikaribie bushere yako.
Sitakutusi mla nyani, juu sijui Kama naenda quarantine ama Kule watu huwa hawarudi
Unfortunately it’s the Government creating the stigma.
he he he, kuna quarantine huko? tusquinty eyes tulichezea ulimwengu rough
he he he,hata enzi za ukimwi haikuwa hivo, ambulance inakuja taa ya siren ikiwa on
Wadau steam mop ita sanitize walls na kadhalika kule sanitizer haiwezi Tumika?
Eish Chief:D:D
:D:D
Chunga profit ya busheri isiishie kwa quarantine at your own cost.
Ficha nyama kwa overall/kabuti ndio ukibembwa ukulie mbele kwa quarantine.