Nime land jet lag nayo

waaah, ndio nimeland hapa dubai nangoja connection…jet lag inanisumbua kiasi (let me pause for a moment for those niggas who don’t know what jet lag is, kimbilieni Oxford dictionary) anyway wacha Nifanye ka shopping kiasi, poleni sana mahasidi ndege yangu haikuanguka kama venye mlikua mnaomba.Na hawa ma pink handles wananisumbua kwa inbox tusizoeane, wacha jet lag iishe kiasi ndio nione kama ntawanunulia hizo vitu mnaitisha.

[ATTACH=full]24141[/ATTACH]

18 Likes

Kama hakuna mbisha …

1 Like

he he he

Haya basi! Tutoke inbox… Please respond to my last text

1 Like

kubaff[ATTACH=full]24142[/ATTACH]

2 Likes

http://i.imgur.com/AdrSeaM.png

2 Likes

Urituachia Kenya reo @ 8:17 am na unasema umeland (around 2:20 pm). At this rate, wewe sasa naona hata accent imechange. Only God know what else will change.

2 Likes

Swali tu. Unaconnect na ndege gani from dubai?

Jet lag kwani ni Autralia ulikuwa unaenda? Tutigithie kihahi

5 Likes

Jet lag, is it. Dubai iko how many hours nyuma yetu bro

Muhahi - Normal
Kihahi - Too much

hehehe…
nangoje 540 wakuwe na promotion nione kama nitaangukia hata mimi nitembee ndani yaveagle

Ruhahi

3 Likes

Troll!

mbukinya shuttle skuizi ziufika dubai??

5 Likes

Reminds me of a kaleo buddy of mine who would travel from Nairobi to Coast and then claim niko na “chet lag”

7 Likes

[ATTACH=full]24146[/ATTACH]

4 Likes

Si hii place iko jua,

1 Like