Amekunja mkia tayari amerudisha bill parliament
4 Likes
Nabii made a BIG miscalculation.
Punda hana brakes kwa mtremko… kaende… kaende…!
1 Like
@MDCCCXXIV anadai huyo boy alibeba hio mace alimadwa? confirm hii news bana.
How? Hio mace naskia angeiweka chini parliament inasambaratika
Alafu pia shida ingine ni the WEST naona hata tufanye aje kama hatujajikomboa bado wazungu watatupiga sh-tiks left right and center. The next leader atapeana mcea huko pia na shafting iendelee