Niliwaambia aje???

I said here that Malindi tunashinda na over 2.5. So far candidate wetu ana 78%. Huyo mwingine ameketi hukooo------->

8 Likes

yenyewe hii ni ya ODM. No contest. Nayo Gericho ni ya Chubilee kapsaa. Jogoo amekuliwo.

3 Likes

Malindi was never in doubt. The question is Kericho. Hiyo naona Cheru akikalia kiti.

But it’s not what I would have wanted.

Huyu candidate wa jubilee has got less % of votes compared to 2013 candidate. This means bado Coast iko imara. Big up Joho na Kingi. We are making in roads and major gains in RV. 2017 tunaingoja kwa hamu sana. Come baby come.

1 Like

[SIZE=1]mimi bado nongojea pk arudi kwa uwanja[/SIZE]

6 Likes

Bado ni mapema just less than 3,000 votes counted

Farasi ni wawili tu na mmoja ameshaanza kuchoka

With 331 of 623 polls reporting in Kericho, Aaron Cheruiyot is leading the Senate race with 52157 votes, while Paul Sang has 28466 votes.

Source: Nation.co.ke

1 Like

Trend analysis my dear. This is a representative of the final outcome.

@Okiya siku moja utalimwo na Fmagui wa hii inchi. Nakuonea 18.

Kwani nimefanya nini mbaya? si mimi nareport results vile ziko?

1 Like

inroads gani RV? baba na mama ni jubilee. to get jubilee votes in kericho add up kanu and jap votes

1 Like

Na ile constituency ya Nkaisery nafaa kuadd up jap votes na gani zingine?

ya kajiado like malindi cord retained but in kajiado jubilee added to the 2013 baseline. malindi jubilee wamepata kichapi cha ndoggie I think its a negative on the 2013. baseline

Unakumbuka hii trend analysis ndio ilileta shida 07,hehe

1 Like

Enyewe hapo umeongea ukweli. Let me wait for the final official result. In the meantime, wacha nione inspekta mwala

1 Like

Kuna msee ako na jicho mbaya Kama Don Yeng

taraka nithi knows no trend ngoja uchangae

2 Likes

Kwanini kichwa yake imekunjana ivo?

If JAP manage 30% in Malindi, CORD has reason to worry

4 Likes