Niliponea

habari ya wananchi? mmepotelea mashghuli sio?
pia mimi niko. sunday asubuhi nilipata accident 3am lakini mahasidi hawawezi nimaliza. nilikuwa nimetoka hapo westie drinks mbili tatu but niko sawa. walisema ni write off but i escaped unscathed.
sahii ndio nimemaliza jnb nikicelebrate life tuendelee kutafuta.
waliniibia simu n.k kwa ndae kwa hivyo nimeingia nikanunua kabambe. mniwekee namba hapa. aya, cheers.

Labda pombe ilikusave.

Ulikuwa 190kph ama??

1 Like

Count your blessings man…count your blessings

ni Mungu kaka.

we ni fala sana. nilikuwa 70 only. last i had checked.

nashukuru sana

@introvert hebu chora huyu mjamaa akiwa uchi akipeleka v8 @190kph … ama wacha tu

4 Likes

we ni shetani lakini ntakuombea tu.

we ni fala sana. nilikuwa 70 only. last i had checked.

Hehehehe!!! I hope you learnt your lesson izo mbio nikama unaenda mbinguni uwache…

1 Like

Usijali, there will be a next time, just continue drinking and driving. Next time you might be lucky to be written off too.

Kama Ile advert ya EABL, we will just replace you.

13 Likes

Mungu amekupa fursa nyingine ujue kuwa ako na sababu Fulani katika maisha yako kaka.

2 Likes

I wish you had died in that accident, ili iwe funzo kwako na wengine wenye…

1 Like

nilikuwa nikutukane nikaona shida zako zinaweza kuwa mingi kama mimba, mashiro, kuwa a grandmother at avery young age na zinginezo. kwa hivyo wacha ninyamaze i was given another chance.

2 Likes

Do not go hunting for death. And better still, do not go out to risk the lives of others. Ukichoka na maisha… kamba.
Just that.

4 Likes

Naona mpaka unarefrain from kutukana .God gave you a chance behave!!

Huyu lazima apigwe crayons.
Watu wa DUI walimaliza mwananduthi mwenzangu hapo Westie na wakatoroka.

2 Likes

Ooh nimesahau kuandika namba 075088199

i was hit from behind and i was all alone. haikuwa kupenda kwangu.

2 Likes

sitatukanana leo. i always behave ndio maana ukiangalia simu sahii utaona missed call.

pole sana kaka

“How can you teach a dead person a lesson?”
[INDENT]Lucy Kibaki[/INDENT]

1 Like