Niko Thika Town....

Naweza pata wapi wanadada wa MKU?
Kama kuna swali nafanya nini huku? Jibu ni nimekujia umbwa kwa besthe yamine

[ATTACH=full]224248[/ATTACH]

Nataka nilale nibebe hii kesho
[ATTACH=full]224251[/ATTACH]
Hii lazima uwe na canter
[ATTACH=full]224252[/ATTACH]

Leta puppy ninunue kwanza

Ends Klub image mefi

Si ungempelekea ka mvua kadogo.

Nasiumeweka picha mingi identical

:D:D:D:D nataka puppy ya hio umbwa ya Russia banaaaaa

Wagpi mkokoteni ya migwa? Ama umeweka Kwa tugutugu.

ghassia

Shipoto

Who buys a grown dog. Si you take a puppy and train it yourself? Hii ukibeba itakukula siku moja.

Wah that’s a serious dog

Hii inataka 250k

Kabisa

worst form of security
tuko 2019 na watu waatumia wanyama kama tuko 1824

That is a pet
a liability
a poop machine

only suitable for billionaires with large amounts of space

Hehehe

@digi Toa ujinga hapa

hii ni breed gani?

Ebu cheki boy wangu anaitwa Mikey hapo Thika, ata kuwahi ma dem warembo sana…wacha nimchapie uko ma area

I just can’t put up with the sheet bit.

is that a St.Bernard?