Niko Mwea

Natafuta spot ya kuchange oil huku Mwea.Any suggestions?

1 Like

He he.

umebeba thufu? juu uko headquaters ya mshere

10 Likes

Hehe…Wiki nne za system development

Threshhold lasima nifike khandi.

Hakuna petrol station yoyote ya shell ama total? Kwani how small is mwea town?

9 Likes

Natafuta sipati.Labda zinangoja usiku.

Tafuta maisha kamili…

1 Like

Hii iko wapi? Leo nataka nyama nono apana mifupa.

Tafuta mahali inaitwa O-touch

1 Like

huko sidhani utabahatika. ulizia @Nostradumbass ako hizo sides

1 Like

I

Ingilia hapo nyuma ya America petrol station…

2 Likes

Sawa wacha nijaribu bahati ya Leo.Ata attendant wa lodging anaweza lika.

Merica petrol station

1 Like

@Female Perspective

Mimi niko Nairobi hii wiki

1 Like

Tafuta @sunnymango
Yeye ni mtu Ya mucakuthi as they call it… .

2 Likes

Wacha niiweke kwa charger

unaeza jiita jina ya ufala kama Kenjatta ?

1 Like

Was it Mama Saitan @aviator who use to talk of some brains having the speed of a sloth or who?

1 Like