Wadau, niko interview flani hapa embassy. Kuna Dem ameingia ndani for more than one hour hajatoka. Ndume zimeingia before wametoka mbio mbio. Maybe ni kwasababu she is the only lady.
Kama uko kwa panel saidia Mimi. My initials ni J.L.O. santeni
Wadau, niko interview flani hapa embassy. Kuna Dem ameingia ndani for more than one hour hajatoka. Ndume zimeingia before wametoka mbio mbio. Maybe ni kwasababu she is the only lady.
Kama uko kwa panel saidia Mimi. My initials ni J.L.O. santeni
Utatoa za macho?
Embassy gani? Ama kwa sigara pale B.A.T ?
[ATTACH=full]398688[/ATTACH]
Ambia village commisioner to leverage his connections with fellow billionaires
All the best my brother
Hii si interview bana, Dem anatoka ndani akisindikizwa na panelist.
Pictorial description of the mood in that company.
[ATTACH=full]398690[/ATTACH][ATTACH=full]398691[/ATTACH][ATTACH=full]398692[/ATTACH][ATTACH=full]398693[/ATTACH][ATTACH=full]398694[/ATTACH]
Haujavaa kama mtu anaenda interview. Alafu umetubeba upusi hapo mbele yako naona kuna mwoman yet umesema mwoman ni moja tu na yuko ndani.
Uyo hajakuja interview
All the best tho kuna time you were to start a business…kulienda aje baada ya elders kukunynyuzia baraka na kukupatia advice kama zote.
Huyo jamaa mmeona viatu kwa picha ameingia ndani na ametoka after 7min akawave kwaheri. Mniombee bana
Hata haujaTuck in your shirt na umevaa Khaki. You don’t look serious at all. I can assure you hio kazi hauipati.
Uyo Dem amesindikizwa na panelist si alikua amevaa miniskirt. Hadi akitembea imepanda juu. Ntapata boss
Huyo anaAdvertise mali wewe unakaa mtu hayuko serious na kazi. Hupati, bro. Wewe na kasimu kako ka Tecno mko nje.
Sawa
Interview ya maana unafaa kuvaa tailored suit kama umenyonga tie. First impression ni important.
chukua dijits , akipata akuite .
Depends on industry. Jora ameenda interview ya kuwa mechanic hapo embassy, atavaa aje misuti?