So tunachill na this pal of mine at a joint enjoying a kacold one two.Hes a nurse,so akatushow some crazy happenings uko wera kwake.Here goes…
Its keido 2pm uthiku…I think alikua night shift.Ametulia tu wera kuboeka ukiangalia madawa,feeling soory for the sick patients wakienda choro,hatin the hospital smell so akaamua wacha asafishe tu mecho mtandaoni.
Yeye ndio ako desk.So kidogo ameona wasee wanne wameingia wako drunk.Mmoja wao ameuliza HIV testing,akawamotion wamfuate.Walikua wamekam na subaru na they were drunk.
So venye amewaingiza room a dude na his chiq wameingia kwanza.The dude akamshow wanapimwa alafu anakaa sooooo jittery.
After kumada their testing the dude anashinda akiwika eagerly akiwapea a little advise before results,‘ehhhh tukooo sawa mkubwa???we tuambie kama tuko sawa!’
My pal akaamua haizuru akajump to the results akawashow they are both -ve.Hapo ndio the dude ameflip out akamunju ule dem mate ya uzito hadi chini.
Ndio amenotice the nurse ako apo still surprised.“nimengoja kunyandua hii kitu kavuuuu leo mkubwa sasa juu tuko sawa si utuachie room tujibambe!”
My pal alitoka…kuchungulia aliona wanaget kuingia mathreshold akatembea…
Sijui mimi personally saa nane usiku kwanza ningedish huyo patient(dem ya the dude)…bt nightshift majamaa huko huona vituko…