Leo si Karibu kanuke sijui Nani Jana alinitumia swara thanks God I have arrived safely wale wana nightrun tick register
1 Like
aye aye…
1 Like
Hekaya omwami tusukume usiku
1 Like
Kuna hawa madem huishi nyumva above. Leo si wamerudi kama wamelewa. Na wakapoteza key. Sema kelele
@Deorro . fitna ni mbaya. Huu ni umama uko nao
1 Like
Hii Chelsea naona imekuwa mambo mbaya.
1 Like
Tym ya morning glory. baba
I already had a night cap, thanks.
Wamelala kwako?
Nope… I like dealing with sober people especially kwa madem. Sitaki mtu aseme I took advantage.
Si unitaftie ka mancave hapo paipuu
Kuja kuna ya 3k poa.
Wewe ungepeana mahali wapumuzike asubuhi wakiwa sober wangerudisha hand