Sacco imefunguliwa time check 1.55
Yesayah
Ndaani saana
Nyang’au huwa hulali.
1 Like
Ulikua unipe tutorials zile nilikwambia ukaingia undercover
Boss pesa huongea, punguza kula mihogo mingi.
1 Like
Meff , si ukae
1 Like
Nyamazeni watu wamelala !
Niko hapa njoro ,lazima nifike kasa by 6.20am
2 Likes
Leta hizo waru polepole and safely wakenya wanazingojea
2 Likes
It’s 6:25am, umefika?
1 Like
Nilifika salama 6.35am, sasa kuchapa kazi huku mwiki
Kwani ulijua ! Chips ni viazi
1 Like
May be mimi ni business colleague na haujui
1 Like