A couple of months back,this cute girl in the neighborhood aproached me.Dame alikuwa msawa hakuna venye ningelenga hio story,to make the deal even sweeter alikuwa na boy mwenye alikuwa out of the country na ata akiwa kenya wao huwa tu mbali from each other,so huyu dame hangenisumbua na story na relationship.With my exemplary skills ikikuja ni kukamua,she kept coming for more and more hadi ikafika point nikamwambia we need to slow down.since then we have been through alot naye na nimekam kumjua vizuri.
Sasa of late,ameanza kukatalia muindo ati ye hufeel guilty after kukamuliwa.She wants us to be just friends
poa
Ameboeka na wewe…most likely anakamuliwa na msee mwingine better…ameupgrade. Vile tu ulimtoa kwa jamaa, ndivyo anatolewa kwa box yako. Madame kama hao hawakuwangi keepers…hit and run. Ni kama kunyang’anya mtu bibi umfanye bibi yako…it never works juu atachukuliwa tu vile ulimchukua.
In a nutshell, Kunguru hafugiki.
Following for a friend
Nimekuwa sponsor wake na nimempea ma-sharti awachane na wewe kama NV, sasa kalisha kende …>>>>>>>>>>>huko
I have a feeling this is Admin or any Mod trying to spice up the village by creating these hekayas…
Wewe kama hujui Bingwa group of handles, tulia…
Enda uliza maswali ya upus Dr kitoto
Nice to know…lakini wacha kusema ukweli yote,ficha ingine kidogo buana
Hebu define what you want? A relationship ama hit and run? If you want the latter, umechelewa.
Nipatie number yake nimuulize shida ni nini
hiyo ni CDF, si mali ya mtu mmoja. ni ya watu wote wenye haja nayo. since you have picked your slices, its time to move on.
Umetenda wema, sasa nenda zako.
even the sweetness of an ice cream ends. Now she’s looking for greener pasturers