Nice affordable hoodies

Any leads? @agwambo

Jamjengo sina idea.Lakini piga lap hapo Muindi Mbingu near Naivas kuna ma shop naona wanauza ma hoodie but wako expe kiasi.Ama ngoja jioni ifike around 5pm piga lap area za down town taveta road kuna ma shop zinauza ma hood zenye ‘hood’ zao ni thick sio kama zile za kuanguka kwa mgongo.