Ni vizuri kufungia wasichana ?

My immediate neiba pale kwa shop yangu runs a hardware .

He is blessed with 4 daughters the last one ndio alimaliza form 4 .

He owns the building where his hardware is … all daughters wamefunguliwa job , one runs a salon , the other a boutique , and the other 2 assist pale kwa hardware … the gals are ever bizy alafu ni wale viumbe waliubwa Sunday wen God wasn’t bizy wamesimama kweli…

Dare upatikane pale kwa hardware na hakuna simiti unanunua utajipata polisi …

The eldest DotA ni kitu 27 ivi , Bado kuolewa , the 3rd born kitu 21 ivi juzi ameshtua Kijiji …mimba ilimea ikawa visible woiiiiiii ikawa ni maswali chungu nzima ni ninja mgani alikula hiyo Mali safi na alikula aje …

Naskia dame alichapwa na babake akasema yote …kumbe mimba niya yule jamaa wa lorry ,mzee Fulani ako kitu fortee fae ivi huwa anawamwagia simiti pale kwa hardware …kumbe ile time dame alikuwa anaendea simiti pale kwa godown the mzee got. Chance to break her virginity and poured all the seeds ndani zikagerminate nikama zimewekwa fatilizaah

Good. Let that father be the laughing stock of the town. Watoto si kuku unafuga ati you keep them under lock and key, they need some sort of freedom. Washikwe matiti na kuwa kissed by their agemates.

Im sure huyo mzee alikuwa anaringia watu kijiji vile watoto wake wako na adabu. Shenzi sana

Saiiiii ndio aliwachilia 1st born aka rent nyumba hapo kwa estate naskia anaianika poa Sana

Hapo kwa kufungulia wao biashara ni decision poa sana. Lakini msichana afaa apewe one day off each week aende away from parents afanye mambo zake bila stress

:D:D:D:D

Had such a neighbour, watoi were getting good grades akaona nikama watoto wake ndio wataset standards mtaani after campo, so walikuwa monitored sana. And like this scenario, one daughter alipewa ball na houseboy, huyo mwingine na makanga. The only hope for the family was the boy ule alipelekwa engineering. Sahii hes the resident mogoka hustler and DDO.

Parenting is hard, hakuna formula ya kutoa model citizens.

Wapi mbisa o_O

Hehehehe. Kulea madem ni shida swali , je uko na watoto wa kike?

Hii generation dem akifika 25 bila mtoi, huyo kuflash ndio zake.

Sikuhizi naonanga madem wengi sana barely in their 20s posing with their kids fb. Ile tsunami ya single mothers iko sahii si mchezo. Coz wengi hupata ball viujinga kama huyu dem wa hardware.

Shida ni wazazi kua overprotective, my 13 year old son nilimuacha awe free na life , last month during his birthday aliniletea his girlfriend. Si kufungia kijana alafu aafike 20/21 bila kukamua kazi ni kuulizia coordinates za brothel

Nikona family friends wali lewa hivyo very strict parents they got their freedom they went nuts , siku hizi kwa social media nima post za ma dildo live, hawa ni watu walikuwa wana ongea na ndimi ! Na wana ambiwa tuta waharibu !

The Minister’s daughter…

But Rodger you can’t blame today’s parents who have the big fat enemy in the room. SHOSHO MEDIA!!! and PEER PRESSURE. The other day my resident teen nephew told me that one of his best friends told him that he overheard a convo between me and his mum. And that I said I would not mind him impregnating his current gf!!! mazee I saw a red mist descend. I said when did I say that?? can we go there right now? who wants teen parents…I threw a hissy rant and headed for the door. He had to beg me not to embarrass him huko. This is a classic case of peer pressure!
I even spoke in Kyuk and he does not understand a word…he said stop the KAKUYU, don’t know what you are saying…then I called his parents, they dashed round. To emphasise hatutaki mtoto sisi. Wataenda na kajo.
It was where we say in Kyuk gwathoka urimwee…:smiley:

Typical African parents. Rule "Don’t date until you finish your studies " but @ 26 wanapea mtoto pressure aoe / aolewe

:D:D:D:D

No we don’t mind him dating. Na anything else wanafanya huko where we can’t see. Mtoto ndio hatutaki. He is 17 going on 30…my point was the devil peer pressure. He was as cocky as a sound akiniambia hiyo story and the teen that had lied to him is an A star student but does not get as much attention from the females as my Lothario nephew.
Mimi nishaletewa several gfs…we just need the convos v open.

Kuna neighbor alifanya hivyo. msichana akaenda medicine KU. First year second semester akashika mimba. ectopic preganncy. akakufa tukazika. Hiyo mali ilikua safi .

pea uyo teen mwenye hapati attention kanyau ajue vile io kitu hutaste

Let me get this right…are you suggesting that I go shagging teenagers, my nephew’s friends? stump out that bangi…

Tamu kushinda KDF!!. Taam sana:p