Ni nini hasa kimetokea kwenye sakata la Korosho?

Yaani ni sawa na umpe mzazi akushikie pesa, siku utakayodai unaambiwa una adabu mbaya

Tena unaweza kuambiwa we si mtoto wangu

Mleta mada hata hunishangazi sana ;

Kwakua bavicha wote mpo hivyo;

Huwa mnashangilia tu halafu baadae ndio mnauliza mlikua mnashangilia nini wakati muda umeshapita.

Kwani pm amesemaje mana nae si wa hukohukk Nape Hawa wote walikuwa mawaziri enzi zao walikuwa wakali hao.
Waache waoane