Ni nani anataka kunyakua shamba ya ogiek ?

[ATTACH=full]102506[/ATTACH]

Singh Wamugunda

Hehehe.

Looto Arap Mashamba Wamugunda ole Mbuloti

:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D

Ongezea McTerra

:D:D:D:D:D

Majamaa chezeni safe. Mnaeza patikana Tsavo kama mumeuliwa na wanyama pori.

Hehehe, Buffaloes zimekueka kwa gunia alafu zika-trample trample on you.

Bana. Worries and problems my fren.

Kuna jamaa alienda kupanda miti pale marioshoni / kiptunga na akachola title Athi house ya nusu mkate!

Hehe, Mariashoni. Tulikua tunaenda huko kubeba migogo na Trucks za Biashara Master. Migogo zinahesabiwa na Marker Pen. Ogopa mkenya. Kwanza kama unamlipa 6,000 per month, chungana naye saaaana.

Kwa forest tuliwafukuza, walianza kuficha Wakisii wa illegal logging.

dunia ni ndogo sana ,walijalibu kupiga stamps lakini wapi ! …anyway ukitaka kuwa sonko lazima ukubali kuibiwa !

umesahau Cornman Arap Mahindi

If there is something i hate, it’s called hypocrisy. One time, the eviction of people from the Mau led by a ‘visionary’ to conserve the forest was deemed a noble idea. Here are people living in the forest, doing some illegal activities and putting the environment into great risk, but now their case is followed up by the same fellows and their win is deemed historical. What gives? BTW, what jurisdiction does this court have over the Kenyan law? Hawa wataenda wakikaukanga. Kenyan law is supreme

Najua Marioshoni, Biashara master, ara? Dunia ndogo!

Ndogo sana. Mi nimekaa pare Walubaga kwa mafuda muda kiasi yake. After highschool [I]nilitupwa/I hapo kwa Sawmill ya Biashara Master Njoro nijifunze Kuhustle. Malipo ilikua kunyongwa lakini I learned a lot.

Hapo hotel Eel nimekula ngoma sana. Ulikiwa izo yardie mbua gani

2002-2008. I still visit often. Eel ilikua set. Vivians ilikua ya makurutu, hehe