[MEDIA=twitter]1645077636681539588[/MEDIA]
Mtukufu Baba wa taifa… Tawaraa mirere
JSKS
Mkulima namba moja
Hehe, I guess it must be therapeutic, hapo anatoka feeling fresh and ready to deal with the situation in Kenya.
Serikali ya PR.
Tawaaaaaaaaaara
Angekuwa hapo wakati ya kulima na disc plough ndio tuone akiweka settings za jembe.
Hiyo tinga yake naona ikipewa Baldan 5 disc plough itaweza.
Rustler pia nimespend easter weekend nikilima … while ya’ll was getting fucked up drunk beyond belief on booze …
Naona unaelewa mambo ya trekta.
Recommend a good series of Massey Ferguson, which can be used for ploughing, harrowing and hauling farm products from muddy road areas,kwanza hiyo hauling sana sana coz kuna biashara kuu hapo…kitu inaweza kama 150-200 90kgs bags za carrots
Mkulima mwizi hodari.
I’m starting to find farming interesting. Inakaa kuwa very peaceful. Ni mtu na nature.
A lot of “vijana” here will not get the irony in that statement.
Tru dat
Ukipata MF 375 locally used ya kutoka Great Britain you will be sorted.
Brand new Millat wachana nayo.
Although target yako ya 200 bags za 90kg for a single trip iko juu. Hiyo itabidi smaller trailers tinga ipige trips kadhaa.
Kama barabara ni mbovu sana and distance is long, you need a proper workhorse. Newholland 80-66S iko sawa.
Moi 2.0 reloaded …
It is … but its alot of work and can be capital intensive.
So hizi ma Dyna za MF zitahema ikija nikufanya kazi places kama hizo.
200bags of 90kgs is an overkill btw
Then anachoma mimea ya mjane Ngina alafu Sunday he gets emotional kwa kanisa.
Hii itahema sana, na condition zetu za vumbistan zinataka tinga kichwa ngumu. Zile zenye hata kukinyesha, wasiwasi wasi yako ni cushion ya kiti kunyeshewa juu touser yako itakuwa na alama ya maji nyuma.
Tunapenda tinga yenye inakuhemesha kutafuta bearings, sio computer yake kusumbua.