ukiingia kwa matatu kama ulikuwa na haraka ndio inaenda ikiokota stage zote…ile siku hauna haraka unafika tao haraka
alafu ukiwa na pesa kubwa, huyo concordi anarudishia kila mtu change anasahau yako:D
Na saa hiyo hiyo pesa ndiyo ulikuwa nayo pekee
True. Kwanza kama sina haraka nafika stage mat imejaa ni soace yangu ndio ilibaki ili itoke. Hiyo day Mombasa road tunapta mbiyo kufika Nyayo hamna hata jam dakika kumi au kiasi tuko tao. Lakini kama niko na haraka nafika stage mat iko wazi ndio ihustle watu kama dakika thate jalafu kufika njiani Mombasa imeshona. Unafika Nyayo stadium hapo ndio sasa You loose hope unatamani utoke nje utembee hadi tao. Mnaenda mnafika ile round about ya katikati hapo ndio sasa karau anasimamisha mat yenu. Kufika tao kanjo wajo barabarani huwes shukishwa. Manenda hadi stage hapo nyuma ya Archives another 20 mns wasted
@Deorro I thought kazi ya mod unaweza fanyia home kwako, u don’t need to go to tao. So sielewi mod atachelewaje
alafu kwa lane ya traffic ama kwa supermarket why is the other queue always moving faster than yours?
hapo nyayo unaweza maliza charge ya simu kwa net
:Dama unaona ile matatu ulidharau stage juu iko na mtu mmoja imewapita apo mbio:D
Kuna shughuli zingine pia mboss
:D:D…I know
Halafu wanawake wawili wakuwe mbele yako… Utahama kwa hiyo que roho safi. Atatafuta pesa dakika tano
Ama inaingia petrol station na inawekwa full tank
Halafu wanawake wengi are not agile, tuseme dere amekukanyagia ushuke haraka but upate kuna dame pia anataka kushuka na yuko mbele yako mlangoni jua hapo hushuki…mpaka mat isimame kabisa
Hehehe especially mat za jioni…
Kuna day hapo jogoo road karau ikasimamisha mat kila mtu akatense. Akaingia ndani na kukaa hiyo time conda ameshindwa kuongea halafu akasema si mnishukishe hapo Burma… Hakuitishwa fare. Dere hakuwa anataka hata kuovertake na vile tulitoka Fedha kama anaoverlap
Alafu kila stage lazima mtu ashuke majority ni akina mama na watoto na mizigo zao.
hiyo jam ya nyayo ndio msee huskia kulia… kwanza ka unachelewa interview
Murphy’s Law.
Mat sasa imejaa after a whole hour kwa stage ndio mama mwingine huko nyuma anakumbuka hajanunua airtime ya kibau so itumaniwe!
worse of all…your chic is all wet and horny ,a distance of two kilometers seems.like two days
I thought talkers own Ferrari’s and lambos kumbe nyinyi ni watu wa shoebaru.
Ktalk Billionares kama akina @Wankemeat na @Carbon hawawes comment hapa. Pengine wa comment wakituita peasants.