Nini kinatokea baada ya kifo?
Unyakuo ni nini?
Kuna mbingu ngapi?
Kuna hukumu ngapi?
Kuna aina ngapi za upendo?
Unyenyekevu ni nini?
Kaini alitolea wapi mke?
Chukizo la uharibifu ni nini?
Vita vya Harmagedoni ni vipi?
Vitasa saba ni nini?
11 . Kuna aina ngapi za malaika
12 . Yohana mbatizaji alibatizwa na nani.
13 . Dhabihu ni nini?
14 . Baragumu sana ni nini?
15 . Utawala wa miaka 1000 ni nini?
16 . Wanefili ni watu gani
17 . Pakanga ni nini?
18 . Tofauti kati ya Roho, nafsi na mwili ni ipi?
19 . Yeshuruni ni nani?
29 . Azazeli ni nani?
30. Kuvukiza uvumba ni nini?
31 . Pentekoste ni nini?
32 . Matowashi ni watu gani?
33 . Mauti ya pili ipoje?
34 . Urimu na thumimu ni nini?
35 . Ubatizo sahihi ni upi?
36 : Kibanzi na Boriti maana yake ni nini?
37 : Abadoni ni nani?
38 . Sifongo na siki ni nini?
39 . Ikabodi ni nini?
40 . Maran atha maana yake nini?
Kwa majibu
Text whatsapp~
+255693036618
Au
Tembelea
https://wingulamashahidi.org