NI KUROGWA AMA?

Siwezi kukaa bila kuskiza kitu ama ku watch kitu. Lazima ni engage akili one way or another. Yes mimi niwale wa earphones kila saa, na sio kupenda. Nilikuja notice nikiwa akili blank ndio hii kitu hua ina attack, na inasumbua. Na wakati ingine inaniogopesha. Kuna wakati nilikua na share na watu, but nikaona watu wana anza kuniangalia suspiciously so after kuongea na madam flani nilikua nafanyia job kitambo, nikiwa ka small akaniambia nijiwekeange hizo vitu. Apparently, hata yeye alikua na the same problem. Kuna wakati kwa hao tulikua tunafanya vitu ama tunasema kitu simultaneously na ilikua weird. Angetoka asubuhi na jua imewaka! Aniambie “ndireciria mbura njikiria ifuri ngariine” and it would rain.

My old man nikiwa mdogo kuna time Angepika food mob, unamuuliza ni ya mini anakwambia kuna wageni wanakuja kutoka ushago, hio day ama kesho yake. Anasema wasipo fika leo tutakula kesho lunch. Na kesho take angerudia same same. Haiku’s inapita Siku tatu watu wanafika. Kuna a Sunday nakumbuka alini drag mpaka Ruai akisema Mbugua (a life long friend of his) hayuko sawa. Tukafika after a long walk from mwisho wa bus stop. Hakukua na watu wengi then. Tukapata Mbugua akiwa mgonjwa na wife alikua ushago na watoi. Hio Siku nililala kwa bench KNH.

For example kutumia mfano simple sana. Out of nowhere nianze kufikiria kiberiti, yup, kiberiti. Nakua obsessed na hiyo kitu moja kabisa nasijui kwa nini. Naanza kufikiria maybe iko karibu kuisha nafaa kubuy ingine…nope! Iko box tatu spare. Usiku neighbour ana bisha. “Sorry to disturb you, may I borrow match sticks/box”?

Niko kwa bafu asubuhi akili inaanza kulia “shop, shop”. Naanza kupiga roho nafikiri maybe nimeibiwa, natoka nakalia nduthi nakimbia kwa shop. Napata mtu amezubaa hapo ananingojea, hajabeba simu na hakua anajua tunafunguanga saa ngapi.

The worst in wakati vitu zinacheza kwa head na hata ukilala zinaendelea, na ni mambo ina concern mtu unajua ama jirani unaonanga tu mkipitana. Then kitu nasty ina happen ndio unakumbuka ukiiona. Kuna times nimelia juu hizi vitu.

Sometimes ni vitu za ujinga ndogo ndogo, kama ku obsess glass kuvunjika alafu a day or two later unapata imedunda ukienda kuipanga kwa shelf. saa zingine ni vitu kubwa. Like ata asubuhi nikue na feeling ya hakutakua na biz, kutafungwa na sales za chini sana ama hata nil. Nifikirie mazishi, wiki haishi naskia nani aliaga, though hii ni rare.

Ni kurogwa?

Unasemaaaaaaaa?

Hiyo inamean kitambo family yenu ilikuwa ya waganga/medicine men, wakati mzungu alikam mka-abandon kipawa. Your heritage is calling.

Naelewa. Though yangu ni mild. It runs on my old geezer’s side. Tukimeet ushago DEC pale jikoni usiku tunashare experiences.

Death naeza poteza appetite ghafla na nianze kuumwa na kichwa na roho inauma physically design nafeel pain. wiki haitaisha mtu najua anapass.

Saa zingine naeza kosa tu usingizi for no reason. During the night naskia random gun shots mtaani, or mwizi anajaribu kuguza padlock ya gate or masiafu zinajaa kejani.

Stranger kwa road tumemeet day one. Mtu msafi anakaa anajielewa. Ashaanza kunipea life story yake na sio ati anataka pesa. Na sio Mara moja. (This one has happened so many times it scares the shit out of me)

So much random shit has happened out of nowhere since nikiwa primary class up to now but I just brush it off, nobody can explain pande ya familia yet it just happens kama kawa.

Ni Githemengu

Not quite.

Actually in my case I have always thought ni kitu kama hii but nikiuliza akina shosh kama familia ilikuwa na warogi wanadai zii. Maybe they lie who knows.

Wewe ni mwithaga

Urogi na uganga are two different professions. Wizards/witch doctors were not same as medicine men/healers. It was mzungu who categorized them as such. That would explain why many of them abandoned the profession, because of the stigma it came with.

Ndi mwithaga.

Hawapendi hizo discussions…

Ndukauge…

Hiyo ya strangers naelewa sana. Shida ni hua inaniacha nikiwa drained excess. I try to avoid wasee wanataka kuroroa. Wizi nayo before ihappen najuanga vitu zikianza kuharibika, bulb kuchapa, maziwa fresh unachemsha inaspoil, etc. Kuna day vitu zilikua zinachapa throughout the day. Usiku nikashindwa kulala, nikapigia watchie job nikamwambia akae jicho. 3:30A.M maboys walishikwa wakijaribu kukata mlango.

Hukuitwa suspect?

Zii. Suspect na ni shop yangu?

Sio kurogwa na sio eti nyinyi ni warogi , you probably come from a line of prophets au seers, you may also have very powerful intuition.
Whatever there reason it’s not unusual, it’s been there throughout history.

Hii kijiji iko na ma-fusebox.

Hio yako ni magothathe.

Maybe. But kwa familia wale wamekubali hii kitu iko ni wachache. Wengine wameokoka kupindukia and it still haunts them.

Kuna vile pia I just see someone’s face and can tell kama ako na roho mzuri au roho chafu. I smell those pretenders bila hata kuongelesha mtu. Its so wierd my closest friend is just amazed of how many times it turns out to be true. Especially tukipiga biz or tuko maraundi za ulevi…naoneaga vitu 18 literary :smiley: :smiley: :smiley:

:smiley: :smiley: :smiley: me ata nilisare kujua inakuwaga mini juu. Nimeenda reddit, 4chan, Quora, and some wierd african forums and websites. Its a rabbit hole. most times nikitafuta ukweli napata maswali kama thao zaidi. So nakula jabberation nichape manusu zangu nikalale.