[ATTACH=full]473594[/ATTACH]
Pea omena heshima yake omwami.
Wewe focus kwa those seedlings called kamande na njahi.
mikel
October 22, 2022, 11:45am
3
Umefanya nikaskia njaa…wacha niingie hapa kangemi nione kama nitapata gorogoro moja ya omena
[ATTACH=full]473602[/ATTACH]
[ATTACH=full]473603[/ATTACH]
Kuna time my cousin amepika omena vizuuuuri. Imeekwa dania, tangawizi na turoyco cubes. Vitu smart. Vitu appealing. So tuko rende kama watu sita na ugali inateremka kama landslide. Kidogo kidogo one of us akatafuna kitu ngumu. Kutoa ni ile nyumba ya konokono. Shiieet! Kumuuliza mpishi kama alichagua atoe zile maimpurities anasema alisahau. Ati aliosha tu direct na maji moto. Kukumbuka that we may have eaten several snails kila mtu aliacha food aende akatapike. Since then omena na mimi hatushikani. Mwili inakataa tu.
Kalenjin101:

Ma-Boiyoo hawananga roho nyepesi ivyo elder. Hapa umetupatia hekaya pia wewe
On the same note where can I get omena cheaply is it burma or gikosh
Cc @hakimoto @Agwambo @Jimit
:D:Deating snails buana is where I draw the line.
Presentation iko poa, but boss hio ugali haijaiva poa. Wamekufanyia half cooking.
Nyadist
October 22, 2022, 2:17pm
11
Kalenjin101:
Kuna time my cousin amepika omena vizuuuuri. Imeekwa dania, tangawizi na turoyco cubes. Vitu smart. Vitu appealing. So tuko rende kama watu sita na ugali inateremka kama landslide. Kidogo kidogo one of us akatafuna kitu ngumu. Kutoa ni ile nyumba ya konokono. Shiieet! Kumuuliza mpishi kama alichagua atoe zile maimpurities anasema alisahau. Ati aliosha tu direct na maji moto. Kukumbuka that we may have eaten several snails kila mtu aliacha food aende akatapike. Since then omena na mimi hatushikani. Mwili inakataa tu.
Yet unalamba kuma kama mursik.
No wonder wanaume wanakosa nguvu za kiume.
Ugali natambua ni ya unga ya brown.
Gaza
October 22, 2022, 2:24pm
13
Hii kitu nilijaribu lakini ilinikataa. Omena, matoke na pumpkin zilinikataa kapsaa.
Kalenjin101:
Kuna time my cousin amepika omena vizuuuuri. Imeekwa dania, tangawizi na turoyco cubes. Vitu smart. Vitu appealing. So tuko rende kama watu sita na ugali inateremka kama landslide. Kidogo kidogo one of us akatafuna kitu ngumu. Kutoa ni ile nyumba ya konokono. Shiieet! Kumuuliza mpishi kama alichagua atoe zile maimpurities anasema alisahau. Ati aliosha tu direct na maji moto. Kukumbuka that we may have eaten several snails kila mtu aliacha food aende akatapike. Since then omena na mimi hatushikani. Mwili inakataa tu.
Remember that snails harbour a very dangerous bacteria that infects the brain.
johnpombe:
Nabii amefanya.
He is just 25 days in state House
Wewe shifo heshimu omena.
Hio menu iko mufti. Najua unaona insects juu hakuna waru na malenge :D:D
Kenye hakuna hapo ni glass ya maji ya ndimu.
At least someone has noticed, hio sembe haijaiiva. Ugali kama haijaungua haijaiva :D:D
Haukupatana na ma chief chef, omena inapikwa inaiva fine unameza hivi skuodi ya Kwanza na sembe unapiga binja my fren :D:D