uko job…office ya rent hufunguliwa only on tuesday…sasa so jirani jana akaona hataenda kupiga line ya bank…akapatiya caretaker 15k akalipe aletee slip…ndio apelekee office…
care take akapewa chapa…around 10am…after an hour bado …after 2 hours bado …after 5hours jamaa akaingia panic mood…kumtafuta hadi kwa bank…simu caretaker ako mteja… sasa naona apa nje watu waki ongea vitu zao kusanywa ni caretaker…
boy alihepa hajapatikana hadi saa hii …
na vile alikuwa alikuwa anapandisha clients wa ngwati…
hii kusota hufanya watu kufanya crazy stuff
biraru
March 2, 2016, 11:48am
2
inaitagwo “kufanyiwa kìhibiranìa”
2 Likes
system
March 2, 2016, 12:01pm
3
seriously how do you run away with 15k only, sadness of life
junkie
March 2, 2016, 12:18pm
5
that 15k wont even last him a week
Zee
March 2, 2016, 12:26pm
6
hahaha aliwekelea sportpesa zidouble kikaumana…
5 Likes
junkie
March 2, 2016, 12:31pm
8
hehe aliwekea Leicester zikakojolewa:D:D:D
6 Likes
halafu jamaa pia nifala sasa ata salary yake hatakujia juu anasakwa…
maisha yake yote atakuwa afraid akiona msee anafanana na uyo msee alimsanya…
the guilt hukula mtu mbaya…halafu mtu hujaribu tu project tunafail unafikiria ni ile pesa inafanya
Karma itamfunza
1 Like
Kama mshahara yake ni a third ya hiyo, basi ameshika pesa hajawai shika. Shinda mkisema wiki hapa.
3 Likes
Leicester jana ime mess gamblers wengi sana
dj wa apa chini aliwekelea 10k saa hii anainishow kichwa bado inauma
6 Likes
Mtu ako na akili hawes betia Leicester
1 Like
it is long since i heard that word.
He probably p[lanned to quit his job, hio ni bonus. Plus there could be other tenants who are victims.
sometimes the o ly thing standing between mchamaa and nirvana is 15k
3 Likes
The dude probably got his way out of that job,maybe that is more than enough to see him start afresh back shags.
hehehe…
thats life for you
prolly landload (sic) hajamlipa and that is his salo so kuna venye unaeza elewa.
1 Like
@Koolibah kumbuka sio pesa ya landlord ni tenant alipita nazo…jamaa leo imezidi hadi akatoa machozi …
123tokambio:
Week hata ni mob
MaKtalk birrioneas. They spend 15K a minute…
1 Like