ni kubaya Arsenal midfield dead

Partey injured
El neny Injured
Patinho injured

we have been telling Arteta to buy a midfielder since the january transfer window. umbwa amekuwa tu aki stall kama ghassia buying wingers ni kama ball itaruka from defence to attackers .

Partey and Tierneys injuries cost us the Champions league . sasa mbweha aliacha Guimares akaenda Newcastle , Paqueta ameenda West Ham .

Partey only plays 4 games injury imeingia , Xhaka hucheza 4 games redcard inaingia . El neny is very defensive kazi ni ball sideways na backpass . Lokonga bado 2 years ndio aive . there was ZERO creativity from the midfield in the FULHAM game .

Fabio Vieira plays Odegards number na pia ni mgeni we cant say he will hold against EPL teams , pia alinunuliwa while injued .

itabidi Zinchenko ashikilie mid though ametoka injury.

Arteta is a foolish coach

Weekend tupo sait.
Itabidi mukate simu.

:D:D:D:D nimetii chief, nimeona mumenunua player 100 million dollars without blinking :D:D:D:D

Partey ako na miaka 41 na mnamchezesha kila game kama kijana mdogo. Anafaa kuwa managed vizuri misuli iache kusumbua.

:D:D:D waafrika lazima mupunguze miaka .

Parteys contract should not be renewed hii ngamia ni ghassia

Nkt hujui Patino ako on loan.

on loan and injured chief, so hata hatuwezi mu recall

@fisi fc @Finest wine @hakimoto CHELSEA IMEPIGWA KAMA UMBWA HAINA AKILI . :D:D:D:D:D

we`ll probably lose to villa na man useless watuchape in the nxt matches

Kwani arteta hii window yote ni kutafuta tu wingers,arteta amekaa na pep and knows kushinda okombe squad depth ni lazima.Its barely four games and hospital fc is back smh.

Tulia uncle Lokonga na Zinchenko pia yuko.Tielemans could be a last minute signing.

wadau nimerudi

Chelsea Mid hakuna. There is a serious issues with our fitness department. Mpaka Fofana alibidi aende US for his medical. Pathetic. Kante arudi man. But Arsenal tukiata tunaua

mboosss tulipiga your team A 4 nil preseason na ndio hio munaendelea kukulwa kama lanye wa finje

We will play 8 defenders

Umeona Mid ya Liverpool kweli?

Tema hio mate Sahi!!!:D:D

Ango tulia umefanya nikuje hapa mbio kama baruti…:D:D

Unafanya Kina @Electronics4u waskie fiti

I’m happy if Man Useless beat Arsenal

polepole tu elders

@uwesmake game imeisha tokelezea. Hio injury time hufanya ni feel kujificha nyuma ya kiti hadi game iishe. Phew!!!

We are leading the pack.