Mimi ni Mkikuyu lakini I support a Merry-Go-Round style of presidency. Come 2027 Arap Mwizi awachilie kiti tuanze kule Turkana then in 2032 twende Coast hivo hivo alafu 2140 twende Nyanza tupatie Raila akiwa na miaka 196 kama Moses.
Hapo Kwa kikuyus, I see their numbers declining in the future. That’s why Ruto is bringing Musalia Mudavadi closer despite him delivering fewer votes. The future is in Mulembe nation and Gusii nation. Those people are giving birth while Kikuyu women are crying because their men wamepotea kwa pombe to the point they can’t perform
Yenyewe huku kwetu kwa kijiji watu wanazaana viufala sana…hata hapa tu kangemi unapata watchman hana mbele wala nyuma lakini ako na bibi mbili na watoto 14!