Ni hasara kubwa nchi kuongozwa na vilaza

Wakuu poleni sana kwa tukio kubwa la kufungwa kwa JF. Haya mambo huwa yanafanywa tu na majuha, watu wasoelimika na wasiostaarabika na pia wenye nia ovu.

Kusema kweli nimesikitishwa sana, lakini nimefarijika kwa kuona brothers wetu wa Kenya wameguswa na wametusaidia. Hata hivyo tusikate tamaa, hakuna na hatakuwepo mtu yeyote au taasisi yeyote iwezayo kutuziba mdomo.

Cha kuwa makini nacho ni kuwa Mrundi magufuli is after something. Huyu ni mtu hatari sana, baada ya kuiba 1.5Trn, inawezekana kabisa anapanga kupiga nyingine nyingi tu na anataka kubadilisha katiba ili awe dictator wa kudumu kama vilaza wenzie kina Nkurunziza na Kagame. Ndo maana kaamuwa kuifunga JF ili tusijuwe kinachoendelea
Kwa taarifa yake, hapa keshachemsha, tuko macho kabisa. Na tuone sasa, nani ataibuka mshindi baadaye…

Hahaaa. kuwa kilaza ni mzigo kwa Taifa.
#Maghufulinisuperkilaza

:eek::eek::eek: Hmm!..

Zitto alitumia neno flani hivi .“…” Kuhusu huyo jamaa

Alisema nchi inaongozwa na mshamba na limbukeni!

Zaidi ya hasara ya kuibiwa kwa 1.5T

Limbukeni kanisaa

vilaza shida sana

nimeku Senior villager

MUNGU yu mwema. Tutashinda tuuu.

Mkuu hongera sana kwa Matusi yako kwa Magufuli lakini serikali haijaifunga jf bali jf wamefunga kutoa huduma ili kutimiza sharti la kanuni za maudhui ya mtandao inayotokana na cyber crime Act iliyotungwa na bunge mwaka 2015 chini ya mawaziri J.Makamaba na Mbarawa na kanuni zake kusainiwa chi ya Mawaziri Nape na Mwakyembe…

Anahisi bado yupo machungani na kundi lake la ng’ombe… kweli bado tuna safari ndefu