Ni Friday na ni payday

Guess whos coming
[ATTACH=full]59939[/ATTACH] [ATTACH=full]59940[/ATTACH]

3 Likes

who?
is it Santa?

Si umekuwa na mwingine jana? Ama CFS ni mingi?

1 Like

Karibu, unakuja kuservice Nani?

The worst day to drink is on a Friday and its payday. Ule wa beer nne kawaida wants to drink ten and he will order kwa nguvu ndio Kila mtu asikie, order ya Nyama itachelewa coz ziko mingi kwa jikoni and lastly maneno ya slices inakuwa complicated. Anyway I’m free tonight so I"ll just join them, dance and have some fun.

3 Likes

Hii imetoka Maua in Meru

When am I being imported???

13 Likes

Sisi tulimazi mshahara 1 week ago

5 Likes

My deer? Hii ni maneno gani?

1 Like

Mimi nataka kupanda mash cool nikapandwe!

28 Likes

Import ya mtu

1 Like

@culture niukwenda mundu

Wacha nikukujie na hii Jincheng yangu twende diani ukanijincheng. Utapata kunguni kwa mash

1 Like

hunger operates in a vicious cycle…you ate jana and you’ll eat again today and tomorrow…

7 Likes

Kuna pahali nimeona @Bingwa Scrotum akichana, I am told hizo vitu zinasaidia kufikosha threshold. Unakaa kuleta noma mtu akikosa kufikisha threshold.

2 Likes

[INDENT]VS anataka long range imports[/INDENT]

1 Like

@Female Perspective I love u

Silimu tufunge nikah tuwache kusumbuka

1 Like

Asante Mungu kamshahara kameingia leo.

@wildfrank niwekee ile ngoma ya Black Uhuru ‘guess whos coming to dinner natty dreadlock’

1 Like

3 Likes

Sawa dear! We kamu…niko hapa brew Westlands