Ng'ombe za Mourinho...

…zinakaa kuonyeshwa kivumbi. One down already…

Mzee siku hizi una kelele sana, huwezi tulia utazame kabumbu kama mafans wengine wa Crystal palace?

this period of Feb/march game za England huwa Very unpredictable juu ya kucheza game mob na fatigue Kwa players

naangalia tunaumia na nani mwingine…sharing the pain.

Hii game tusha shindwa, pogba akule sub before half time anacheza aje casually hivyo

Sicomment… Lakini wewe husupport team gani??

Wakifunga tunaingia .

mimi? the suffering Chelsea.

Ni vizuri hujasema the mighty Chelsea… Tungekosana :slight_smile:

[ATTACH=full]161086[/ATTACH]More like suffering londoners…

Kuteseka ni kwa muda.

Hii game naomba tu tushinde lakini ju hatuwezi enda tukipatia man city guard of honor. Afadhali ata ashley young a dive mara tatu controversy badae

Yeye na Sanchez wanacheza ovyo sana…

Unnniiiiiiiiiiiiittttttttttttteddd!!!

Great come back.2-3 to united

Chelsea thank you for Matic thank you very much

Maticcccccccccc…wonder strike na watu wameze wembe…:cool::cool::cool:

Write your reply…
That screamer from matic is just class

MATIC

Yesss…One hell of a comeback.
Kondoo za conte mnaeza kulala sasao_O:D:cool: