Ngeta/kunyongwa: wangapi hapa washawai pigwa ngeta?

0/ <— nimeinua mkono. Nimepigwa Ngeta mara mbili. Occasion 1: Hapo odeon kulikuwa na Wines and Spirits (mutotho time haikuwa then). Tumeingia hio base 2getha with work collegues kitu 6pm those days nilikuwa casual employee Kenya Power kwahivo mshande haikuwa mostest na Wines & spirits ndo ilikuwa our best buy except mwisho wa mwezi when we wud go bar ya kawa na nyama inaitishwa.

Anyway tumeingia wines and spirits. Liquor was cheap coz kulikuwa na a variety of brands so compe was stiff. Zangu zilinishika nika show maboyz am out…naenda mtaa…it was around 10ish 11ish…destination bustop za mathree ya parklands mpshah. kulikuwa an old roundabout nxt to a fire stn…apo ndo hizo mat zetu zilikuwa. Si nimtoka odeon staggerring bt tryna to maintain…jus before nifike fire station niliskia nimepigwa ngeta moja mzito…yaani ile imeingia mzuri ata huwezi resist. Kidogo wasee kama 5 or 6 ka mifuko joo…Action ya 1 or 2 minutes alafu they ran in different directions kumbuka kuna watu tao lakini action is so fast ata mtu anaweza fikiri ni walevi tuu wanapigana. Phone 5210 Nokia imeenda, wallet gone lakini mimi nilikuanga nikienda ulevi natoa pesa ya ku drink naweka kwa wallet --zilezingine nakunja naweka kwa socks. Waaaaa lakini uchungu ni 5210 imeenda

Occasion 2: Nilikuwa mtu anapenda K1 sana na tulikuwa tunaingia K1 tukiwa na maboyz wangu. Hakuna gari coz then K1 was nt far from diggs. So on this day kedo 2am boy jay na ulevi yake ameanza uchokozi…long story short mabouncer wakatupa jay nje. K1 kuna gate A (mbele) na gate B (ya nyuma) ukitoka na gate B kuna a feeder road where guys used to park their cars wanadinya madem ndani. That feeder road was a short cut to westlands shopping center. Kuna club ilikuwa famous nimeisahau jina…but it was on Apic center…on top of burger hut. That was my destination. Si nimeshika hio feeder road…waaaaaaah kumbe mlevi alikuwa ameonwa kutoka umbali…mafisi wali jipanga ready to ambush…am walking nikawakisha fegi…kidogo i see a cool guy ule hata uwezi shuku ask me in english ya mahomie…ati yo Gee wassup si u okolea me with fire i light my fegi. Si nampa fegi yangu aseti yake…waaaa 2seconds ngeta sasa propa ata kuliko ile ya odeon. This time waliniibia kila kitu. Hata viatu bana…na zilikuwa Kiatu ya pawa…ma reebok zimetoka UK…waaaaaaa banae. Nilikanyaga lami mguu tupu hadi mtaa jo na kulikuwa kumenyesha

6 Likes

chokosh akipigwa ngeta na wenzake shida iko wapi, wewe umepiga wangapi?

Chokosh wakanyama kuwa serious at times na c tafadhali

oCASSION 2:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

kuna talker hapa alipost venye alikuwa anapigana ngeta hapo fire station i think alikuwa anaitwa @Wakanyama

1 Like

Nowadays wewe ndo hupiga watu ngeta huko Ujerumani? Nishapigwa moja kwa gate ya Kamukunji police station on Christmas eve, my Nokia 3210(By then it was the equivalent of S6 now) ikaenda. The things I have seen in Nairobi!

3 Likes

Had u ficha’d some chums kwa soks, ama they took them too? You still smoke?

Once but they didn’t steal anything from me.

1 Like

HOMO @Jirani DANDORA NAONA IMEKUIVISHA

khocha…ujerumani hauwezi piga mtu ngeta…security ya hapa wacha tuu na ma CCTV!! weeeeeeee lakini mara mingi nimecheki sitting ducks najiambia waaaah uyu angekuwa kenya? unaona mlami amelewa amekaa kwa bustop na ameshikilia simu ya nguvu na hajijui…lakini wewe chukua tuu hio simu…kesho yake aende karao…watamuuliza alikuwa wapi na wapi…they will review all the CCTVs around the areas he has mentioned and YES they have the time

Stick to theme of thread…wacha ku derail with ya homo fantasies…kat0mbwe na wakanyama utulie

Once punched a would be thief at afya center so hard he blacked out i think he was trying to open my backpack. Unfortunately I dislocated two of my fingers. It was lights out for him.

5 Likes

nilipatikana once nkiw shaggs. ubaya money sikuwa na any, nlikuwa nmewasha zote and i din’t even have a phone.
nlichapwa slap ingine moto, ulevi ikaisha kwa kichwa

4 Likes

Hawa wezi hugrab simu ukiwa kwa mat alijaribu, caught his hand, pulled it in and smashed it against sliding rail ya window his hand broke at a 90° angle alipiga nduru akafaint

10 Likes

mimi na boi wangu tukienda kuwaka tulikuwa tunarudi masaa ingine ya injury,masaa nane, tisa hivi,lakini madingoo walikuwa wanajua ,WE WERE THE LIONS OF THAT KINGDOM

1 Like

Zile siku michuki alikua ameintroduce sanity kwa matatu industry watu wanapanga laini waingie mat mimi nikasema juu nastay ngara nitateremka na accra hadi coast bus halafu kirinyaga rd nivuke river niingie auctio halafu nitokee ngara that was a bad decision nilipewa so many hot slaps kwa uso mpaka mdomo ikararuka na nilitoka rubber nikawachia nokia 2600( equivalent to iphone 5now) when i think of that incident my heart skips a beat

5 Likes

@Atheismo UKIUWA MTU MUNGU HUWA ANAKUSAMEHE?

KDF UNATUANGUSHA BANA SASA UKIKIMBIA @Purr_27 ATADO? HIZI NI ZILE STORY UNAFICHA KWA CLOSET

3 Likes

it was around 11 mimi hapo juntion ya river road na luthuli as i was walking towards direction ya kwenda kodja niliona chokosh akitaka kuvuka barabara venye aliniona akatoka mbio am lyk Tf! lucky was i nilikuwa nangalia chini coz nilinyongwa but mjinga hakufikia shingo but chin.nikastukia machokosh wakidai kuingia mfuko .nilishika mnigga alikuwa ananinyonga kichwa na both hands nikajirusha chini kujiachilia hao machokosh kuona ivo walitoka teke pamoja na uyo mjinga they didnt steal shit!kujiamsjh

1 Like

Kuna time I used to livevin Rongai. Sasa hiyo siku nilikunywa tao nikaenda Rongai kitu midnight. Kushuka mat nikadai kupata nduthi kuenda mtaa but i was pressed. Nikaamua kukojoa by the road side. Bad decision. Niliwahiwa kibare moja strong ata mkojo ikapotea. The only thing i remember was begging them waniachie keys za hao.

10 Likes