Ngai hizi vitu haziishi

https://www.theguardian.com/science/2022/mar/25/woman-in-uk-diagnosed-with-crimean-congo-haemorrhagic-fever

basi unaona vile bazungu anakusukumia jukumu ya magonjwa yao…Crimea-“congo”, for real??

kama hii kitu ilitokea Crine in 44, kisha baada ya miaka nane ikaonekana Congo, hiyo sini kama kusema Covid-Wuhan19 ikionekana Angola nwaka wa 2026, in 70 years they will rebrand it as Wuhan Angola?

@Ndindu kuna hii stuff hapa. Hawa wazungu ndio walikukosea?