Next on Moha's Jicho Pevu.....

Naa anayashukiwa kutekeleza kifo hichoooo, si mwingine bali ni naibu wa raissssss- mheshimiwa William Samoei arap Rutoooooo.

Wadadisi wanatudokezea kwambaaaa, uhusiano wa wawili hao ulikuwa umezorota siku za karibuniiiiii, na walikuwa Ni kama stima na majiiiiiiiiii…

Uchunguzi wetu ulitufikisha Narok katika kipande cha shamba linalo dhaniwa kuwa kianzilishi cha sakata hili, ambalo wawili hao walikuwa wamiliki…[ATTACH=full]55569[/ATTACH] …

So in Kenya, no politician should die a natural death? Smh

Might be true.

Hehehehe. Yani DP will take the fall for this too??? :eek::eek::eek: