Bas! Ni huyu ! Lakini after NTV kumulika Hessy sioni wakiongeza body count this week,maybe next week
Ako na mathree inaitwa WANGORO-GANGSTER TEARS , u will be sprayed with bullets mpaka passengers
Huyo jaguar ni former classmate of my siz. Alisomea Ronald Ngala Primary School. Pale Hip-hop city.
Alikuwa donda wa mat ilikuwa inaitwa ASSERTIVE #team-wangoro.
Hiyo mat ile wizi ilikuwa inatembea. Ulikuwa una board ukiwa na change. Ukipeana doo ulikuwa una geuziwa change.
Those rings though…shait
Stadi imeisha?
Bado flood light ndio niliona nikiwa kwa chopper.:D:D:D
lakini huyu brayo alilemea ma hessy, either ni mtoi wa biggy flani untouchable ama hulipana vizuri sana kwa ma beast
Wapi ngori buda.nimengoja
Wanajiitaga #TeamSherehe.