Newspaper link

Mtu asaidie na link ya kudownload nation, star na standard.

Ukipata niambie

Hahaaa sawa

Chunga usipatikane na mkono mrefu wa serikali read Pamba :smiley:

Crick hii rink ya google drive [MEDIA=googledrive]1FPPobBDCWEK-4RdDDNLadlfogkKvFAD6[/MEDIA]

Hebu wacha usikutililiwe kama @Chifu ukidownload copyright material.

Ni 180 hamna ya kubuy gazeti zote Tatum ama?

“ndunya moto” bado iko on a private listing but not free PS sio yangu i just happen to be “there”