Njenga Karume’s grandson arrested after pushing girlfriend to death from 4th floor of their apartment in a scuffle in Ndumberi, Kiambu County.
Sina mbisha saa hii.
Birrionare problems…may she rip
Atawachiliwa tuu kwanza if GF comes frm a peasant family.
,
Hii story lazima itabadilishwa to suit the wenye inchi ngoja Muhoro afike…kwanini billionaire alikuwa anaishi kwa 4 floor "flat’ in ndumberi instead of the leafy suburbs befitting his status
Hii ni child’s play kwa Ombeta!
Maybe ilikuwa ni man cave. Every birrionaire has one.
Hehe Cliff to the rescue na ukitaka alie kortini sawa itaongezwa kwa bill; kamasi imwagike? ongeza kwa bill
Man cave ingekuwa kule kileleshwa 3 brm penthouse hivi…1st floor billionaire hawezi panda stairs mpaka heaven
Cliff ombeta needs a stand alot thread hehe
Anger management ni mzuri
according to the will they ger a monthly stipend of 300k so hio na uongeze ushamba kiasi he cannot afford to shine his eyes in kile
Hii mambo ya billionaires Kwenda ku ngangania kuishi Ndumberi na their subjects and workers ndio inaleta insecurity…inflation inapanda wananichi wa kawaida wanashindwa kujihitimu kimaisha
How will Mr. Ombeta perform if he was to relocate to Ghana or any other Commonwealth Country
Am sure the courts will find him not guilty.
Panelists leo mumekua wengi ama munalipwa?
Tulimaliza billionaire 300k allowance ya mwezi na bado ya March haijaingia…tumebaki tu na bundles za kupiga kelele hapa
nauliza aje afisa @pamba huyo mwoman alirushwa ama aliruka ??
mhindi leo alipeana off.
friday night things although ilikuwa thursday…
Hio ni suicide na nihayo tu.