Newcastle VS Man United

1 Like

This will be the true test of Carrick ball. Man-u watatoa ndani mingi sana.

1 Like

Arsenal will drop points today .. tumekaza haga mpaka veins zimejaa kwa uso

2 Likes

Its another day for akina @Yuletapeli kukaza mpaka saa sita usiku.

1 Like

Arsenal Fc sisi ni one game at a time. Arsenali wana focus na games zao sio za man u ama chelsea.

Villa Vs Chelsea game is in favour of United.

If Villa win United will still be 6pts into champions League slot.
If Villa lose, United will still be number 3.
This will happen if United lose to Newcastle.

But if we win..

We Cool Jimmy Fallon GIF by The Tonight Show Starring Jimmy Fallon

1 Like

Uliona your keeper akidai tunatumia voodoo.. ati aliskumwa. Na nani lakini?

This is not football

1 Like

Leta odds za leo nitajirike.. bei ya mafuta inataka kupanda

1 Like

Bado sijaheal

1 Like

Izah kaka.. wacha tushinde kikombe upone faster faster. Hii kutukazia ndio inafanya munauguza majeraha siku mingi

1 Like

Very boring game by Arsenal.
Ya Chelsea na Aston Villa ndio muoto Wadau.

1 Like

Mufc walipigwa na watu 10

Arsenal kila wakati


:ewe:

It is going to be downhill for Carrick from here, next game ni Aston Villa kukutana na Unai Emery.