Mimi nakula za makaa in undisclosed location [ATTACH=full]194664[/ATTACH]
@Tarantinoh kimbia saidi.
Gichana? Uko na barua from the local forester?
Mimi ni former special forces retired commando, enzi zetu hakukuwa na za Somali,wakikula huko nakula huku
niaje motokubwa?
Kabla nikue padre nilikuwa nachoma makaa na kuuza enzi hizo
All those who have liked this thread are persons of interest upande wa B kubwa
wacha uwongo purr 47
Gasia hujui kuchoma makaa,lazima utoboe shimo kwa hio mchanga ndio makaa itoke sawa,na ikiiva hapana tumia maji kuzima makaa .
unamaanisha nini shemeji?
Hizo ni stems za bangi
Unatumia mchanga
Wakanyama unasumbua
poa sana
hio ni majani ya mti ya mukima
Ogiek.
Toka Mau.
Jacaranda tree.
Hapo mahali moshi inatokea ndio breathers… I did this kitambo when I was young and thuggin
Sanda Sana Mr Opara Cwazy baldheaded artiste tutafutane Rosa place Kwa Ochola Koru, Niko na kijana ya nje hizo area Kwa Mzee onyi.
Wakanyama wamekuwa wengi hadi wanasalimiana. Motokubwa = wakanyama.