New Year Sherehe

Unavukia mwaka wapi?
Leteni coordinates sasa wakuu

2015 nilivuka mwaka nikiwa juu ya malaya, 2016 life ilinishow muoto hadi nikatii.
Nowadays mwaka navuka nikiwa kwa nyumba na family, sitaki nux tena banae

Iza man :D:D

Leta hekaya

Mikosi tuu, nikipata doh sijui inaisha aje, jobo performance yangu took a dip, yaani nuks ambazo hazieleweki banae

Vuka indoors[ATTACH=full]487925[/ATTACH]

Am embu town, leteni coordinates

@ChifuMbitika ametuita sherehe ntarusha picha baadaye

unakuwanga na stori fiti sana alafu hata comments hukuwa moto pia. :smiley:

Ingia Step2, Billionaires, ama Java Blue.

Kama unataka lanye pia niambie. Nikupe Eastings na Northings.

Exactly

Chungana na combi ya mkiya na hizo shoga…ni bibi ya @MTINGIZA KITANDA!!!

Unataka mkia ya elder hapa?

M

Maraya mkuu niaje, hujarishwa pishori hii festive?

Trust me, malaya has absolutely nothing to do with it.

Nimeponea chupu chupu. …wacha tuone hii mwaka itatupelekaje