New Villager Alert !

Am a new Villager here. Nipewe kiti tafadhali na sio ile ya Game of Thrones

Welcome for the 2056th time @Bingwa
wewe hauhitaji kiti ama meza, lakini unaeza pitia rm 254 wenzako wako hapo

5 Likes

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/village-elders-and-senior-villages.35397/reply&quote=708305

Hii iko sawa
https://www.kenyatalk.com/index.php?attachments/screenshot_2016-11-06-11-32-09-jpg.66201/

13 Likes

AKIAU!!!

Niaje mama saitan?

Wah hizi viti mnatoanga wapi

4 Likes

Some have 100 some have none

haya!!![ATTACH=full]68221[/ATTACH]
ndich hicho kiti

Hii kiti nimeikubali !

Wewe ndio ule Judas wa klost??

apana ,ni @Judas254 twitter