New vilager kutoka Tz

Habarini nipokeeni mwanakijiji mpya kijiji cha jirani, naamini sijapotea njia japo na kamba mguuni

Welcome!

mwanakijiji mwenzangu umekuwa mkimbizi huku

Karibu Sana.

wengi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Imenibidi tu hamna namna ila nadhan mda si mrefu tutarud kwetu

Asante sana

Karibu sana

Karibu

unapenda nini

Hi vilager yako ndo hii hii villager mwenzangu???