new sport... waiting for the landwhale version

[MEDIA=twitter]1626290940355772416[/MEDIA]

Kukiwa na World Cup Kenya inatuma conductor wa Githurai peke yake na subs wakuwe wale wakisii wa Embasava pekee. First half kukienda mbaya wanaweka wakisii. Hapo 65th minute kikombe tunapewa kila mtu anaambiwa arudi kwao. Ile style hao watu hugonga mat utadhani mikono imetengezwa na mbao.

Men version
[MEDIA=twitter]1622284863675179008[/MEDIA]