New Sanitary Pads Make Good Covid19 Masks

Just seen guys using them. Try one today.
[ATTACH=full]297310[/ATTACH]

Madness

It’s not madness chief. Imagine mask moja ni 150 kwa chemist. Pack moja ya pads ya 8pcs ni 80bob. Hiyo ni protection ya siku name, so a day ni ten bob. Hesabu ingine ni pack ya panty liners 20pcs ni 120. That’s 6bob a day. So msee akibuy hizo mask za material anaweka pad ama panty liner ndani for extra protection.

OK, kwa mwanaume itakua ngumu kutumia but I think ni concept wanawake wanafaa ku adopt especially wenye hawawezi afford 150 daily.

I am doing so especially wakati natoka kufanya errands ndongo ndogo inje, na pia for my delivery gal. Coz initially nilikua na buy hizo za chemist but hiyo hesabu ikawa ya ufala. Since the gal was using 2-3 a day. Saa hii tunatumia liners, na hata tukitumia sita in day bado hiyo hesabu hainichapi dent.[ATTACH=full]297311[/ATTACH]

But SAA hii kuna mask hata za 50 Bob. Alafu ukitumia mask mchana unaiosha jioni. No need to buy a new one daily.

Hiyo ya 50bob, washa mti ya kiberiti blow through that mask, itazima. Inapenyesha. Na kama nilivyosema, for extra protection pads and liners would work. So sio idea mbaya.

watu wa psychology…what would be the effect of this on the boychild?

i don’t think wanaume kaa mm tutaweza tumia this

Kumamaishwa