wakubwa nadai kubuy tenje mpya hii yangu nimekaa nayo tangu 2016. I feel a need to change and have a different experience with another phone. budget inachezea 20K.
at that budget phone naona nikibuy ni xiaomi redmi note 5 global version.
leteni recommendations zenu wakubwa.
N/B: INFINIX na TECNO batallion enda mkakunie kwanza…